Onyo la Jeshi la Iran kwa yeyote anayetaka kutuma silaha Israel ili kuusaidia Utawala haram wa Israel + Video
21 Juni 2025 - 23:42
News ID: 1700312
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Msemaji wa Makao Makuu ya Kijeshi ya Kha'tam al-Anbiya (s.a.w.w): Kutuma zana zozote za kijeshi au rada na nchi yoyote kwenda Israel ili kuusaidia Utawala wa Haram wa Kizayuni, itakuwa ni lengo na shabaha halali kwa vikosi vya Jeshi letu.
Your Comment